Powered by Blogger.

Search This Blog

Mambo ya muhimu

Upendo ni kama shamba linahitaji kupaliliwa Hivyo katika kuboresha mahusiano yako kuna vitu ambavyo huwezi kuviepuka katika mahusiono unahitaji kuzingatia simamia kile ambacho kimewafanya kuwa pamoja kuliko kuangalia madhaifu ya mwenza wako. Kuna wengi ambao wanawaacha wenza wao kwasababu ambazo hazina nguvu sana, tazamia kuwa mwenzi wako si mkamilifu kuna vitu lazima atavikosea so wewe huna budi kuvumilia maisha. Na usiwe mwepesi kulaumu. Mapenzi ni shule mojawapo

No comments