Powered by Blogger.

Search This Blog

AINA 10 ZA WANAUME NDANI YA NDOA PART 1


Leo tuangalie kitu muhimu sana katika maisha ya ndoa , na siku ya leo tutaangalia aina mojawapo ya wanaume ambao wako katika ndoa na uwaonapo hawa jua kwa yakini kuwa unahitaji kujua aina yake na hapo jiandae namna ya kuishi nao kwa amani.\


kuna wanawake ambao wako na wanaume wa disingn fulani ila sasa imekuwa shida kwako kuishi nao na mara zote wakitafuta kuwabadilisha katika maisha ila sivyo inavyotakiwa mwelewe kwanza namna yake na itakuwa rahisi kujua unaishi vipi naye.

1.Mume ambaye ni kapera. Bachelaor husband


  1. huyu anakuwa na maisha kna kwamba hajaoa kwa hiyo utamjua tu anakuwa kana kwamba hajakua.
  2. wanapenda lufanya mambo ya wenyewe bila kuwashirikisha wake zao yaani utakuta mambo mengi anafanya mwenyewe hata hakuna muda anamshirikisha mkewe. na utakuta anpanga kununua kiwanja au kufanya mradi fulani ambao kabisa uko na faida kifamilia ila yote anaya fanya mwenyewe.









3. mara nyingi mambo ya kifamilia anajiamulia mwenyewe fasa fasta utakuja kuambiwa tu kuwa nimeamua tufanye hivi wala hujui imekuwaje.

4.Mume huyu utakuta anajinunulia nguo zake tu mwenyewe wala haangali kama ana familia nayo inahitaji nguo za kuvaa kwa ukweli halisi,

5. mume huyu anapenda mara nyingi kutembea na marafiki zake kwa wingi kuliko mke wake. kwa maana kwamba utakuta mume wako kila mara yuko na marafiki hata muda wa matembezi anapenda tu atoke na marafiki zake sana kuliko wewe mke wake . ukiona hivyo jua kuwa umeolewa na  na mume ambaye ni kapera.



6. anapenda sana kujihudumia mwenyewe mambo mengi sana na pia utakuta kapendeza na kutokelezea sana kuliko mkwe kwani hajali sana mwonekano wa mke wake kuwa naye apendeze bali hujijali kwanza yeye. 
hivyo mara nyingi wake walioolewa na wanume wa aina hii utakuta mke anaoneka shallow ila mme katokelezea ile mbaya nguo za gharama ila mke dah ni huzuni tu.

7. mume huyu anapenda sana kula hotelin sana hata kama nyumbani ni karibu na utasikia kuwa et anawapa kampani marafiki zake. ni kwambie kitu rafiki wa app yetu ya upendo wa kweli. mfano mie MrG  kila mara nakula hotelin na visingizio vingi mara kazi, leo nawapa kamapni marafiki. na mengine mengi , zote ni dalili za aina gani niko .





kabla ya kumalizia dalili nyingine ya mume huyu kapera nikukumbushe kitu, tafadhali wajulishe marafiki na ndugu wote juuu ya APP hii ya upendo wa kweli wa install katika simu zao wapate kujua mengi sana, ipo play store  watafute kwa jina la Upendo wa kweli tu wataipata 


8.mume huyu pia utumia muda mwingi vijiweni na marafiki zake na anarudi usiku sana pale ambapo kmke kashalala so ukimpata wa disingn hi. na je una wa aina hii unafanyaje usikose kufatilia post mablimbali katika app yetu .
share link hii kwa marafiki wastsapp na facebook na mitandao mbalimbali.
LInk
by Mr.Gee

No comments