Powered by Blogger.

Search This Blog

Dalili ya kuwa uchumba wenu hautadumu

kuna wakati wengi hungia katika uchumba na wanaendelea muda mrefu na paipokujua kuwa uchumba wao uko hatarini 
leo tuangalie dalili chache zinazoonesha kuwa uchumba wenu hautadumu muda mrefu 










1.usiri

mwanzo mlikuwa wazi ila uchumba wenu unaanza kuingiliwa na usiri sana , hwenda mmoja wwenu hapendi mambo fulani yajulikane kwa watu , 
au wakati mwingine anaweza kukuwambia kuwa sasa tusitembee wote. ni dalili mbaya za uchumba wenu kuwa hamtofika mbali kama mkitawaliwa na usiri mwingi.


2.Utoaji upande mmoja
kila siku wewe ndo mtoaji hakuna kitu unapata kutoka kwa mwenzi wako inakuwa hatari sana katika mapenzi pale ambapo mtoaji ni mmoja katika mapenzi au mahusiano. najua inapendeza pale ambapo unatoa na mwenzako naye anafanya kitu katika aisha yako











hasa pale ambapo unatoa muda wako pesa zako pamoja na nguvu zako na mtu unayemfanyia hana time na wewe.

3.Ukiambiwa na ndugu na jamaa
kuna wakati wale waliokuzunguka wanaweza kuwa shuhuda katika maneno pale ambapo watu ndgu na rafiki hasa wale wanaokutakia mema wanapokuambia kuwa ninyi katika mahusiano yenu hamtadumu muda mrefu inakuwa ni dalili yakuonesha kuwa ufa tayari umeanza kuonekana mapema hata kwa walio nje









4. kuchekelea na kuleta tabia mbaya

mazoea mabaya yanapojitokeza katika mahusiano yenu na mara mnashindwa kuatatua na kchukulia poa , na kuona kuwa jambo la kawaida,
unajua kuna baadhi ya makosa unaweza kuyaona ya kawada kama ubinadamu ila kuna makosa hayatakiwi kuchekelewa mfano kukosa uaminifu na uongo katika mahusiano yataleta kitu ambacho kwakweli hakitakuwa sawa katika mahusiano yenu hiyo kuna kila haja ya kuangalia suala hilo mapema sana.

kumbuka ni afadhali kuvunja uchumba kuliko ndoa /
share app hii ya upendo wa kweli kwa ndugu na jamaa zako ulionao.

No comments