Powered by Blogger.

Search This Blog

Aina ya mume ambaye ni tindikali

katika mwendelezo wetu wa aina za wanaume wenye tabia mbalimbali leo tutaangalia aina ya pili ya mwanaume tukumbuke kipindi ikilichopita tuliangalia mwanaume ambaye ni kapera, yule ambaye anajijali sana leo tuagalie aina ya pili ya mwanaume.



TINDIKALI
huyu ni mwanaume ambaye anasifa sifuatazo.


  • wakati wote anachemka anafoka kila saa
  • wakati mwingi anakuwa na hasira kwa mke wake na pia aakuwa mkatili na jeuri sana kwa mke wake
  • ni mtu katiri na hatabiriki katika atukio ukimkorofisha uue kuna jambo litatokea , na pia kua wakati wewe utaongea kitu cha kawaida ila yeye anakichukulia serous na kukasirika haraka sana 
  • kila kitu anapenda kutawala yeye, ni sawa mwanaume ni mtawala ila sasa utakuta kila kitu anapenda kutawala yeye na kukasirika pasi na sababu za msingi za kumfanya awe hivyo
  • yeye hata umfayie nini yeye anaona umefanya pumba tu so wapo wanaume wa


No comments