Powered by Blogger.

Search This Blog

Aia ya mume mkoloni

baada ya kuangalia aina ya mume ambaye ni kapera na tindikali
pia tuagalie aia nyingine ya mume ambaye nimkoloni.
sijui unadhani ni mume wa aina gani ila leo tuangalie aina hii ya mwanaume huyu mkoloni
bila sahaka unaweza tafakari tu kidogo maisha ya ukoloni ambavyo yalivyo na ndo picha halisi ya mwanaume ambaye ni mkoloni 
hii si kwa ajili ya wanawake tu bali na wanaume pia kama wewe mwanaume ni aina fulani baada ya kujua tabia yako inaweza kukusaidia katika kuokoa ndoa yako kwa kuona kuwakulingana na tabia yako mwenzi wako anaumia kiasi gani


MUME MKOLONI
tabia yake

  • ni aina ya mume ambaye anajisikia sana na anapenda kuhudumia kama mfalme, i aina ya ume ambaye anapenda ubosi au wengine huita umwinyi mwingi
  • pia anamchukulia mkewe kama mtumwa wa kumhudumia
  • UZAMANI mume huyu anapenda mke wake akae mambo ya kizamani sana ili kuonesha kuwa anamheshimu 
  • hapendi kuitwa jina lake la kwanza na mke wake , ukimwita anachukia
  • hapendi mzaha na mke wake , hapendi kutaniana na mke wake so katika maisha ya ndoa no kutaniana ni ngumu ngumu tu , usirius kwa kwenda mbele
  • mwanamke hana uhuru wowote, wa kufanya mambo au kuamua kila kitu anapangiwa nammewe,
  • pia jambo jingine ni mwanaume anaporudu nyumbani jioni atahoji kuwa je mtoto mchana alienda wapi, nani alikuja hapa na je alikuja kufanya nini maswali ambayo kwakweli ukiyachunguza kwa umakini hayana logic ila ndo maisha ya mwanaume huyu mkoloni, tumeumbwa tofauti
  • hii inaweza kuchekesha kidogo ila ni ukweli mtupu mtu huyu hutaka mke wake amvae mavazi ya kizamani kama vile bibi yake, yaani do hivyo
  • hapendi kuona mke wake kavalia kisasa au kujipaka mafuta mazuri yanayoukia au kujipulizia unyunyu aka marashi perfume yeye anataka jipake mafuta ya mgando mfano  mamisi najua unaweza kuyakumbuka au mengineyoyake ya kizamani sana.

No comments