Powered by Blogger.

Search This Blog

Mambo ambayo wachumba wanapaswa kujadiliana katika uchumba




Wengi wetu katika uchumba huwa tunatymia muda mwingi sana katika kupiga story za hapa na pale ila tunasahau mambo ya msingi,
Mfano kuongea "babe umekula nini, au umevaa nini au leo tutembelee wapi ila wanasahau yale ambayo ya muhimu sana.
Hapa simaanishi kuwa hayo mengine hayana umuhimu bali naongelea kuwa inabidi kujadiliana zaidi katika mambo fulani.



Ebu tuangalie mambo hayo.

  1. Namna gani tutawasaidia wazazi wetu, yaani wa mume na mke?
  2. Je tutaishi wapi maisha yetu ya baade baada ya uchumba?
  3. Je katika ndoa tufanye lipi la kwanza kujenga au kununua nyumba?
  4. Je tuzae watoto wangapi, Mungu akijalia.
  5. Na je baada ya kuoana tukae muda gani kabla ya kuzaa watoto? Na je watoto wetu wapishane umri wa miaka mingapi?
  6. Je itakuwa tuwe maradi mingapi baadala ya hii tuliyonayo kwa sasa?
Jadilianeni mengi zaidi juu ya maisha
Kama ni wakristo je mtafanyaje kazi yabinjili na kama ni waislamu vile vile, hivyo mbali na muda wa kuchart basi weka muda wa kuongea mambo ya kujenga,

Kumbuka ku install application ya upendo wa kweli kutoka play store upate kujifunza mengi.

No comments