Powered by Blogger.

Search This Blog

Kwanini baadhi ya wasichana hawaolewi mapema




Inawezekana ukawa na swali hilinkatika akili yako kujuabkwanini ? Na wengine umri unaenda sana kiasi kwamba yeye anakuwa tayaribkwa yeyote ambaye atakuja kwa ajili ya kutaka ndoa ila inabidi kuzingatia uhalisia wake nanumuhimu wa kuolewa.
Wengine hupata mfadhaiko aana pale ambapo unakuta wadogo zake wote wameolewa ila yeye bado wengi hufafhaika na kuona kama dunia imewameza.
Ila tujue kuwa kuna madhara yabkuolewa umri ukiwa umeenda sana katika kumwathiri mtoto hata mwanamke mwenyewe ,
Leo tuangalie sababu mbalimbali ambazo humfanya mwanamke asiolewe mapema, hapa naongelea zile ambazo ziko ndanibya uwezo wa msichana kuzirekebisha .

  1. Kujaamiana kabla ya ndoa, tendo hili japo wanaume wanarifurahia katika kufanya ila wanalichukia pia , mwanaume akishakujua asilimia za upendo kwako zinapungua, na hivyo akijua kuwa huwa unatembea na wanaume basi ujue unapoteza nafasi.
  2. Kuwa mchafu ama kuvaa vibaya hapa naongelea wasichana ambao kwao usafi ni mpaka mgeni aje au katumwa mbali na pia kuonekana shallow muda wote, simaanishinkuwa hata kama unaosha vyombo huku umevalia mitoko lah! Ila kuwa katika mwonekano mzuri na unapomaliza kazi oga basi kaa vzr.
  3. Uchoyo na kukosa ukarimu baadhi ya wasichana wanakosa wanaume kwa sababu wanawake ni wachoyo , wanaume wengi sana wanapenda wanawake ambao ni wakarimu sana , kwani wanaune wanatabia ya kupenda wageni so mwanaume akijua kuwa wewe ni mchoyo atakukimbia mapema.
  4. Kuwa mvivu,wadada bao ni wavivu hawapendi kazi muda mwingi wako na simu kazi kutuma picha za Facebook na kuwa online masaa yote hakuna kazi unafanya hata zile ndogo unazotakiwa kufanya huko ufanyi sasa unataka usaidiweje, mwanaume mwenye akili anataka mwanamke ambaye anachapa kazi. Na hapa simaanishi kazi ya uloffisini bali namaanisha kazi yoyote tu.
  5. Kutaka maisha ya juu baadhi ya wasichana hutaka mambo makubwa kuliko uwezo wa mvulana ambaye anamchumia, msichana hajui kubana matumizi, akimpata kijana kila siku ninkuomba ela ya kwenda kutanua, kusuka nywele za gharama kisa et mwanaume huyo,ana fedha  hata kama mwanaume anafedha ila hapendi kutoa fedha bila sababu za msingi.
  6. Malengo yaliyopitiliza baadhi ya wasichana wanachekewa kuolewa kwa sababu hii  na watachelewa pia, ni hivi unakuta msichana yeye anataka mwanaume ambaye atakuja kumchumbia awe na gari, nyumba na ofisi, wengi husema funguo tatu sasa nikuulize kama nirajisi tu, huyo mwenye funguo tatu unadhani yeye anatafuta mke wa design gani? Kwa hivi utakaa miaka mpaka 35 bado kwakuwa hao wenye hivyo hawaji. Imamia uhalisia wa maisha pesa na mali zinatafutwa angalia mwanaume ambaye anaweza kusimama na kusaidia wewe kuinuka na yeye pia kuinuka ,ambaye atamudu kukutunza.
  7. Kuwa mgomvi mwanaumke kila saa matusi lakini pia kuwa mkorofi yaani huyo mchumba unayempata akijua wewe ni mkorofi kamwe hata kaa bali atakimbia kabisa katika uwanja wako.
  8.  Kiuwa na mdomo mrefu, kila saa unaingea na umbea kwakweli mwanaume hapendi mwanamke ambae ni mmbea kila saa yuko kwa huyu na yule anafanya biashara yabkubadilishana maneno tena ambayo hayawahusu kabisa,
  9. Kujitenga, kuna wasichana wameamua kujifanya watoto wa getkali yaani hajichanganyi na jamii ,ulimwengu tulionao ni wa kutafuta si kutafutiwa so angalia kushiriki katika shughuli za kijamii fanya kazi na watu cheka na watu.
  10. Kujiona bora, kuna wasichana hujiona wazuri sana kuliko wengine hivyo uketa maringi na kiburi kwa wanaume angalia kwa makini inaweza kuja kukugharaimu sana.
  11. Maneno makali , kuna wakati mwanaume anakuja ila humpendi kwanini sasa umkae kwa matusi? Ungepungukiwa nini kama ungemwambia kuwa haukobtayari kuingia naye kwenye mahusiano? Sasa uktukana mmoja jua hatakaa nalo bali atawaambia na wavulana wengine kwa tabia yako mbaya ya kuwatukana na hawatakuja kwako katika kutaka uchumba , angalia hii kwa makini.
Niwashukuru kwa kusoma post hii wasikirikishe wapendwa katika kuinstall App ya upendo wa kweli kutoka play store, ilinkuweza kupata post hizi kila siku.
Ahsante sana.

2 comments: