Powered by Blogger.

Search This Blog

Mwanamke anataka nini?



Wengi sana utakuwa na bidii kujua mambo mengi sana juu ya maisha masomo na mambo mengine ila simaanishi kuwa kusoma mambo mengine ninkosa LA hasaha Bali namaanisha kuwa kuna uhitaji wa kujua upande was pili unataka nini na hapo itakusaidia sana.
Inawezekana umeoa au una mchumba ila unashangaa kitu kimoja kuwa mile ambacho unahisi ukimfanyia mtu wako ni bora ila yeye anakiona tofauti kabisa .
Je tatizo liko wapi?

Mwanamke na mwanaume wako tofauti kabisa, vitu vingi katika mahusiano tunatofautiana kabisa. Hivyo unatakiwa kujua je, umfanyie nini ili afurahi?
Hivyo kuwa kuna utofauti hatuna budi kujua mwanamke anatakiwa kupendwa vipi.
1: Kumjali
Mwanamke yeyote katika sayari hii ya dunia anapenda kuona mwanaume ambaye anamjali, jua anataka nini yeye anachopenda ni wewe kujua yupo, kuna vitu anavihitaji ila we we huna uwezo wa kumpa, yeye anachotaka kwanza ni we we kujua kuwa anataka nini, hata kama huwezi ila unajua kuwa anahitaji, sasa mfano anataka nguo mpya au kitu fulan, kitendo cha kumwambia kuwa make wangu najua kuwa unahitaji sana kitu fulan ila kwasasa sina fedha, nitakapopata ntakupatia nakupenda na natamani use nacgo tyvumilie tu mambo yatakuwa sawa.
Yeye anafurahi.

2:Kusikilizwa
Mwanamke anapenda kusikilizwa ila sasa wanaume tunakuwa na shida moja kwamba ni watu wa kutoa majibu haraka.
Anaweza kusema kuwa anaumwa ila so kwamba anaumwa ila anataka ukae chini umsikilize.


3:Kubembelezwa
Huu ni mtihani sana kwa wanaume maana tunapenda command
Inaendelea.....


No comments