Powered by Blogger.

Search This Blog

Tofauti ya mwanaume na mwanamke



Imeonekana kuwa vigunu kwa mwanaume kujua mwanamke anawaza nini? Imekuwa Nazi kweli, ila in jambo muhimu sana katika mahusiano.
Ila swala LA changamoto, mwanamke kaambiwa kutii na mwanaume kaambowa kupenda je,  nani anatakiwa kuanza?


Mwanaume na mwanamke wameumbwa tofauti.
 1. Kujishuku( kutokujiamini)  hali ya kutojiamni inaleta tatizo katika ndoa,
 Wanawake, je, ninapendwa? Hivi mie ni Wa pekee?
Je, tungeanza upya mume angenirudia?

mwanaume anauliza , hivi mimi Nina uwezo?
Heshima yangu ikoje? Mtazamo Wa watu kwangu ukoje?
 
Mfano, mwanamke akuliza kwanini hukupeleka watoto shule? Mwanamke anatafsiri ni kuwa yeye ana matatizo , mashaka?

Mwanaume akiwa amevurugwa akili anataka kuwa peke yake au kwens kuangalia Moira au mengineyo. Mwanamke anatafsi hapendwi.

2 mahitaji.
@Mwanamke.
Upendo
Familia
Usalama
Urafiki.
Tendo LA ndoa.

@Mwanaume.
Heshima.
Kutulia,kufikiria.
Mwanamke anweza kuongea takribani maneno 60000 kwa siku na mwanaume 30000 , hapo ndo taabu inapoanzia pale ambapo, maneno ya mwanaume yameisha

3.mawasiliano.

4.Namna wanavyo wasiliana chumbani tendo LA ndoa,
Mwanaume anafikiri kwa kuona , mwanamke anafikiri kwa hisia.
Kuwekeza mtumie mkeo SMS na mengineyo kuamsha hisia zake,

5.jinsi wanavyo tafsiri mafanikio.
Kutaka mafanikio kamili hiyo IPO kwa mwanaume, wanataka logic sababu,
Wanawake wanaangalia ubora na furaha kuongezeka.



No comments